This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumatano, 20 Januari 2016

HATIMAYE MCHUNGAJI SAEED ABEIDINI AACHIWA HURU TOKA GEREZANI

Hatimaye Mungu amejibu maombi ya wakristo wengi waliochukua muda kumuombea mchungaji Saeed Abedini baada ya kuachiwa huru toka gerezani nchini Iran ambako aliwekwa kizuizini kwa kosa la kuhubiri injili nchini humo miaka takribani minne iliyopita. Mchungaji Saeed ambaye ni raia wa Marekani lakini mzaliwa wa Iran aliachiwa huru siku ya jumamosi iliyoisha, baada ya kuwepo shinikizo kubwa kutoka kwa serikali ya Marekani, taasisi za haki za binadamu bila...

IMANI ILETAYO MATOKEO

Mwalimu - Christopher Mwakasege Diamond Jubilee 17 January 2016 SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA. Bwana Yesu asifiwe , leo tunapo angalia somo hili nataka tuangalie sana IMANI ILETAYO MATOKEO Msisitizo haupo katika sadaka bali kwenye ni kwenye Imani na msisitizo haupo kwenye kupanda na kuvuna bali upo kwenye Imani. Japo kuna watu huwa wanaambatanisha na maombi wanapotoa sadaka lakini bado msisitizo upo kwenye Imani. Waebrania 11:31 ‘’ 31Kwa...

Jiweke tayari mda wowote

Someni maneno hayo. 2 Petro 3:1:18 1  Wapenzi, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika zote mbili naziamsha nia zenu safi kwa kuwakumbusha, 2 mpate kuyakumbuka yale maneno yaliyonenwa zamani na manabii watakatifu, na ile amri ya Bwana na Mwokozi iliyoletwa na mitume wenu. 3 Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe, 4 na kusema, Iko...